Jk12
JF-Expert Member
- Feb 24, 2019
- 702
- 1,151
Mechi moja ndo imechana du Kati ya nane 7 zimefungana hata ALIYE bet over 1.5 kapigwa mana kuna mech ft 0:1Maneno yangu hayajapotea hao wachina wamechana treni inabidi wadau warudie kubet upya
Mechi moja ndo imechana du Kati ya nane 7 zimefungana hata ALIYE bet over 1.5 kapigwa mana kuna mech ft 0:1Maneno yangu hayajapotea hao wachina wamechana treni inabidi wadau warudie kubet upya
Mkuu hii GG ina maana gani★ *UEFA Champ Leag*
Slavia Prague - Inter
GG & Over(2.5) 2.30
★ *UEFA Champ Leag*
Leipzig - Benfica
GG & Over(2.5) 1.90
*Odd 4.37*
usife moyo we tupiaga tu maana hata Mimi imechana moja ila kazi nzuri unayoifanyaMechi moja ndo imechana du Kati ya nane 7 zimefungana hata ALIYE bet over 1.5 kapigwa mana kuna mech ft 0:1
Goal GoalMkuu hii GG ina maana gani
Dah ila kaka uko vizuri..usichoke kushea..kuna wakati kutembelea nyota hakuepukiki..Mechi moja ndo imechana du Kati ya nane 7 zimefungana hata ALIYE bet over 1.5 kapigwa mana kuna mech ft 0:1
Unatakiwa kusubiri saa 24h za confirmation ..Hivi ikitokea kwenye Mkeka timu zote zimekubali kama ulivyobet ila timu moja game yake imehairishwa/imefutwa (Postponed)...pesa yako unapewa ama mpaka na hiyo siku ikicheza ndo itajulikana?!
Kwako Mwl Kashasha
Niaje arifu?
Treni letu lilianza safari tangu tarehe 25/11/2019/' jana zimecheza game za uefa tumepita salama tuombe mungu leo tena UEFA tupite salama!
=>> Ifahamike Kwamba Treni linatakiwa lifike kigoma tarehe 30/11/2019