Gwangzu
JF-Expert Member
- Dec 21, 2017
- 2,457
- 3,819
tuombe mungu lifike salama.Likifika salama nitakuwa na kama milioni hivi
tuombe mungu lifike salama.Likifika salama nitakuwa na kama milioni hivi
Hivi meridian ni nzuri kutumia app au web?Odds 6 hizo
Hivi meridian ni nzuri kutumia app au web?
Hii ni fixed, stake mlima
Bet won
Thank you Kaka
Hii ni fixed, stake mlima
JILIPUE NA HIZI ODDS 5+Dah ila kaka uko vizuri..usichoke kushea..kuna wakati kutembelea nyota hakuepukiki..
Treni bado linasonga tulio fata niwengituombe mungu lifike salama.
Meridian wakopoa sana kwenye options
Tatizo server zao kimeo kweli,
Ngoja nirudi nyumbani Betpawa
Ha haaThank you Kaka
Nimeifata baada ya kuzoom stake nikaona sio stake ya kitoto aisee
Hongera mkuu
Bet won
Sijaona option ya goalscorerMeridian wakopoa sana kwenye options
Tatizo server zao kimeo kweli,
Ngoja nirudi nyumbani Betpawa