Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

jaman mbona kwangu hakuna upepo aisee tusaidizane kwenye hili
Ushauri wangu usipende sana NORMALS NA OVER ZINGINE ZA KIMITEGO (Kule kwenye BETPAWA na PREMIER BET na WENGINE hii ni biashara wanatega pesa kama sisi tunavyotaka hela) na kurudia rudia teams kwenye mikeka yako CHEZA MAGOLI , NORMAL kwa timu ambazo hazidissapoint JANA Liverpool amedissapoint ila zipo TEAMS KUBWA HUWA HAZIDISSAPOINT kama BAYERN M, YOUNG BOYS,BATE, BOCA, CELTIC, RANGERS n.k. na ndogo ndogo zipo fanya utafiti. Kuna options za BOOKS, RED CARDS, PENALTY,CORNERS, DOUBLE BETS, EITHER HALFS,0-15 MINUTES, SUBS n.k.. Hayo masoko yote yaunganishe unapata ODDS zinazokupa pesa ndefu. PIA MIKEKA MIFUPI MIFUPI ila ukiona siku nzuri CHEZA MATRENI YALIYOCHAMBULIWA VEMA. Angalau hapo utaanza kurudisha pesa zako nyingi ulizowachangia hawa akina Kanji na wazungu.
 
ok mkuu
 
Back
Top Bottom