Kingkorlar
JF-Expert Member
- Oct 16, 2018
- 875
- 996
Safi sana mkuu ,endelea na moyo mzuri hivyo hivyo mungu akubariki leo umpigie ka harrie 14m hiviMkuu am glad to hear that
Hapa lengo ni kuwashinda bookies hiyo ya vocha we ongeza kwenye stake maana Itakua kama tunauzia odd sasa
Pamoja sana mkuu
Mkuu, Hii option ya 'BOOKS' inamaanisha nini?Ushauri wangu usipende sana NORMALS NA OVER ZINGINE ZA KIMITEGO (Kule kwenye BETPAWA na PREMIER BET na WENGINE hii ni biashara wanatega pesa kama sisi tunavyotaka hela) na kurudia rudia teams kwenye mikeka yako CHEZA MAGOLI , NORMAL kwa timu ambazo hazidissapoint JANA Liverpool amedissapoint ila zipo TEAMS KUBWA HUWA HAZIDISSAPOINT kama BAYERN M, YOUNG BOYS,BATE, BOCA, CELTIC, RANGERS n.k. na ndogo ndogo zipo fanya utafiti. Kuna options za BOOKS, RED CARDS, PENALTY,CORNERS, DOUBLE BETS, EITHER HALFS,0-15 MINUTES, SUBS n.k.. Hayo masoko yote yaunganishe unapata ODDS zinazokupa pesa ndefu. PIA MIKEKA MIFUPI MIFUPI ila ukiona siku nzuri CHEZA MATRENI YALIYOCHAMBULIWA VEMA. Angalau hapo utaanza kurudisha pesa zako nyingi ulizowachangia hawa akina Kanji na wazungu.
Mkuu, Hii option ya 'BOOKS' inamaanisha nini?
Jana Mechi zote zilitoa Magoli>1.5. Ngoja tuone leo maana siku hazifanani.Ukiangalia makundi yote ya ueropa leo hakuna team iliyofuzi tayari,makundi mengi team tatu zina karibiana hii ina maanisha ule usemi wangu uerooa team nyingi avarage teams ukiandoa wachache kama sevilla ambaye ndo team yenye point kumi na mbili peke,ushauri wangu leo
1.ueropa direct win ni hatari sana team ukiangali mpaka kufika leo week 5 kuna matokeo ya kushangaza sana team kama porto inashika mkia,besiktas haina point hata moja,psv yuko nafasi ya 3 Wolfsburg 5 nyuma team kama gent
2.gg ni option nzuri sana,28+ ndo nyumbani kwake,corner ndo usiseme,kadi nyekundi huwa zina mwagika sana leo...leo ni usiku w
a options na magoli
3.leo team kubwa kama arsenal ,sevilla na man united wana nafasi kubwa sana ya kushinda !!stay tune tuanze kuleta mikeka
N:b europ ndo sehemu muhindi na mzungu huwa anarudisha peaa yake tuliyomla uefa stake wise mdogo mdogo najua manguli wanaelewa wakina mayu ,basiasi,void
Kadi hizoMkuu, Hii option ya 'BOOKS' inamaanisha nini?
Mkuu am glad to hear that
Hapa lengo ni kuwashinda bookies hiyo ya vocha we ongeza kwenye stake maana Itakua kama tunauzia odd sasa
Pamoja sana mkuu
Watu wapo chimbo so kuwa mpole wataiweka.Naombeni odds tano
Mbn sion mikeka leo!
Mkuu unazipataje hzo free ticket z jakpotjamaa wanatoa free tickets za jackpotView attachment 1275011
ukishaingia tu kwenye jackpot utazikuta wamekuwekea kulingana na ulivyowachangia mtaji waoMkuu unazipataje hzo free ticket z jakpot
Masta we ni shida 🤣🤣🤣