project planner
JF-Expert Member
- Jul 8, 2019
- 1,170
- 1,562
Aiseee ni kweli mkuu kuna mitimu yakipumbavu sana angalia huu mkeka wake odd mbili tu ulivyochanika kijinga hela yangu imeenda Bure tu pumbafu na nusu yaani sijaotea hata timu mojaAisee kuna mitimu mijinga sana humu duniani ....jamani ninataka odds 3 tu wadau,