Mayu
JF-Expert Member
- May 11, 2010
- 8,686
- 14,373
Bet won
Bet won
Hiyo ndo tafsiri halisi ya DRAW NO BET. kwamba ikitokea mechi imeisha kwa sare basi ni Kama hujabet hiyo mechi.Kwann wanakata hizi gemView attachment 1274779
Bet won boooooomKila nikijaribu kumpa Liverpool direct win
Nasikia sauti nyingine ambayo siioni inasema "achana nae atakuharibia siku huyo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]"
Mpaka hapa nasita kumpa liverpool direct win, bora hata double chance
Huyo ni Mamaye tu,Liverpool 1 Goal Please. [emoji5][emoji5]
Hiyo ndo tafsiri halisi ya DRAW NO BET. kwamba ikitokea mechi imeisha kwa sare basi ni Kama hujabet hiyo mechi.
Niko na angalia team za kesho hapa huyu jamaa week hii tutamla mpaka arudi kwao india kesho ni moto kuna hela mpaka naogopa
Baba huyu ameshaelekea kibra tutampiga hela mpaka arudi punjabi huko kesho nataka raum mpyaKukuwa open sana napo shda
Huyo ni Mamaye tu,
Kanikosesha laki 6 yeye mwenyewe tu
Hahahaha ataenda Punjabi na boksa tu Usisahau kesho kutandika jamvi nas tudeseBaba huyu ameshaelekea kibra tutampiga hela mpaka arudi punjabi huko kesho nataka raum mpya
Nilikuwa mchoyo wa majibu ya complex no,calculus na wave ila siyo mikeka kesho tutamaliza soon after job tu mikeka kama yoteHahahaha ataenda Punjabi na boksa tu Usisahau kesho kutandika jamvi nas tudese
Nilikuwa mchoyo wa majibu ya complex no,calculus na wave ila siyo mikeka kesho tutamaliza soon after job tu mikeka kama yote
Noma sanaWalifuta twende sheli sasa ....odds kumi na mbili zimetakata