digba sowey
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 10,508
- 23,368
Mkuu am glad to hear that
Hapa lengo ni kuwashinda bookies hiyo ya vocha we ongeza kwenye stake maana Itakua kama tunauzia odd sasa
Pamoja sana mkuu
Mkuu Mayu kwanza nikupe hongera sana mzee mwenzangu
Jana nilitembea na tips zako zoote ume lost mmoja tu
Endelea na moyo huu kaka unasaidia wengi
Naona Void kapotea kidogo, endeleza jahazi mkuu
Nimeku PM mkuu nikupe hata ya vocha tu kama shukrani kaka
Man u fuvked
Hakuna Team mbovu pale ENGLAND Kwa sasa kama MAN U
kumbe ni ile ya kawaida3 way maana yake ni 1 x 2 yaani uweke bet yako katika option moja kati ya 3 yaani home win, draw au away win...
Az ana mwaga mboga nasubiri tu atoe ggAz kwenye ubora wao
Asante mkuu, niliufuata ushauri wakoMechi ya wolves over 5.5 odds 2.58, sio nyumba na mke tu.... Weka mtaa mzima.
Hakuna Team mbovu pale ENGLAND Kwa sasa kama MAN U