Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Yeah, hio ni kitu sure bro! Tunahitaji ujasiri ili kuleta mabadiliko chanya katika kipindi chote cha maisha. Nahitaji sana kuambatana na majasiri katika safari ya kuelekea uchumi wa kati. Itakuwa jambo zuri tukienda sawa mkuu

Haina noma tupo pamoja sana
 
jamani nipeni majibu hapo kwa hizo nane za kwanza naogopa kuangalia
 
EUROPA

MALMO VS DYNAMO KYIV

X2

1.43

EUROPA

DUDELANGE VS APOEL

X2

1.40
HUU UBASHIRI UNATOA NAJUA MIKEKA MINGI SANA IMECHANWA NA MANCHESTER UNITED, AZ ALKAMAAR, RANGERS, CSKA MOSCOW NA YOUNG BOYS TUKIKUMBUSHWA TUBET MAGOLI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…