project planner
JF-Expert Member
- Jul 8, 2019
- 1,170
- 1,562
Arsenal mpuuzi sana
Acha tuArsenal mpuuzi sanaView attachment 1275559
Pole sana mkuu, imebidi nicheke tu...Bad day in the office siku mbaya sana kipigo kinaitwa unikome.....nacho umia zaid team zangu za siku zote zimetoa matokeo !!roma,porto,lask,celtic,lazio,.....nimekupa ban ya maisha umejiunga kwenye chama la ac milan , man united na dortmund hawa ni mawakala wa kanji
piga ban la maisha huyo falaHuyu taira arsenal mi kaondoka na mtaji wote yaaani kama ulivyo nilimwamini sana ngoja nijipange upya
kweli lazima ucheke tuPole sana mkuu, imebidi nicheke tu...
mzee leo pumzika kwanza usije choma mtaji wotekama kawaida nimeenda tena France league 2 na nethaerlands ...ila arsenal bado cjamsahau ngoja nitafute tena karbuni wakuu tubashr mechi za leo
Nadhani kuna kampeni ya kumfukuzisha Unai kazi, ile timu akija kocha mpya hata kesho tu utaona watakavyo badilika...kama Unai hatofungashwa virago, Arsenal anakufa tena weekend mbele ya Norwich...Sitakaa nimbetie tensa arsenal
Bet lost50/50
Europe huwa naiogopa sana
Mara nyingi hela niliokula eufa inaliwa na europa
Stake what you can afford to lose View attachment 1275234
Hii option ni nzuri pia hasa ukitumia zaidi timu kubwa!Asante mungu leo siku imeenda vizuri kidogo kwangu..View attachment 1275601
yaah imekaa poa mkuu,ingawa tunasema betting hamna option rahisiHii option ni nzuri pia hasa ukitumia zaidi timu kubwa!