Joseph ladsilaus
Member
- Nov 14, 2019
- 78
- 65
Ndg hii ni kampuni gani
Asante mungu leo siku imeenda vizuri kidogo kwangu..View attachment 1275601
Asante mungu leo siku imeenda vizuri kidogo kwangu..View attachment 1275601
Mechi ya wolves over 5.5 odds 2.58, sio nyumba na mke tu.... Weka mtaa mzima.
Mechi ya wolves over 5.5 odds 2.58, sio nyumba na mke tu.... Weka mtaa mzima.
Kubeti samtaim kugumu balaaaawakati Astana kapigwa alikuwa ana mzigo, nikataka kufuata nikasita nkasema timu halijapata hata point moja leo atawezaje kumfunga Man U kumbe Uoga wako ndio umaskini wako kudadek daaah
ANABETI YULE MSHENZI
Akishidnaaaa nakunyaaaampaka jf
Kubeti samtaim kugumu balaaaa
We jamaa upo na huku??! ...#anonymousHii ndio europa dadeq
Aseno 1x inaelekea kumshinda
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kamlete na Void.. bila kumsahau Pdidy...!! Kanji anaweza fanya ukaugua kichaa walahi
Yani arsenal na man u hata wakicheza na kagera sugar hutakiwi kuwapa direct win walekabisa ni kugumu sana sasa we ulidhan astana atashinda ? ila man ni mabwege sana na arsena ndio pumbavu kabisa
Huwa nakuelewa sana mwanangu ukiweka naomba unitagLong time sana pande izi..ngoja leo tujaribu makenikia ya weeknd wadau
Wanazengo Yanga Parimatch amepewa odds 2.46 , na 2 & 2+ ana 3.60 !!! Naweka hapa hela ambayo sijawahigi ku bet
Kwa mfano hiyo game ya Marseille ikiisha kwa matokeo ya 0-0, hapo unakuwa umewin au umelose ?Haya wale wa meridian 2 odds zaleo hizo changamkaaaa, sio mke na nyumba tu, weka mtaa mzimaaaView attachment 1275897
sungusungu lete mkeka alopigwa sio kila siku unatudanganya hapa...mbona yeye hasemi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16] void kile kipigo hatosahau kamwe
Roma over 2.5 mzeyaaaa