Troublemaker
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 20,834
- 40,641
Roma mbona alichana game iliisha 0-3
Roma mbona alichana game iliisha 0-3
Timu za uingereza zakichoko sana..
Treni la weekend ni la mhimu,nalisubiriwadau leo nipo chimbo kuandaa treni la jumamosi mpaka jumapili
Hutaweza zitoa hizo hela. Maana unatakiwa utoe kwa njia ulowekea au laa sivyo deposit kwa bitcoin cheza afu toa
Yap najua kuwa haiwezekani. Yani nataka nedeposit kupitia cryptocurecy nyingine isipokuwa bitcoin then nibet alaf niwithdraw
muulize huyo anayekucheka kwenye avatar yako0 - 3 ni Under au Over 2.5 ?
Nipo long time kitambo mkuuWe jamaa upo na huku??! ...#anonymous
Yani arsenal na man u hata wakicheza na kagera sugar hutakiwi kuwapa direct win wale
Usisahau kuni-tag mkuuwadau leo nipo chimbo kuandaa treni la jumamosi mpaka jumapili
Mkuu ukishalipia pale chini kuna sehemu ya kushea link
Yoyote ile ilimradi pesa iingie kwenye account yangu, then nirudishe cash au mobile moneyKwa njia ipi?