Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wadau wa basket mkeka wa asubuhi niliotupia wa odds tatu uliunguzwa na timu moja wajioni huu angalau nimerudisha hela yangu ya asubuhi
Screenshot_20191129-214109.jpeg
 
Wadau naomba mtu anielekeze ninawezaje kuwapata hao banc Abc me nko moshi naomba kwa anayejua msadaa wakuu
Moshi hakuna tawi lao ila pale maeneo ya msikiti wa riadha kuna wakala wao ambaye atakupa uelekeo upate vipi kadi kama unataka!
 
Back
Top Bottom