CUTE JESSIE
Member
- Nov 13, 2019
- 11
- 7
Nadhani betpawa wako macho sana na treni za mkuu, hata ile treni ya Jana odds zilishuka sana baada ya mda mfupi.ðŸ˜Mkuu nani kaliangusha?
Nadhani betpawa wako macho sana na treni za mkuu, hata ile treni ya Jana odds zilishuka sana baada ya mda mfupi.ðŸ˜Mkuu nani kaliangusha?
usife moyo mkuu one dei yes yatafika border tutaingia hadi lusakaILA SGR ZA WEEKEND HIII AM SURE NAMPIGA SANA KANJI...
Tatizo gani...we ni mgeni kwenye cryptocurriences?? Ndo mara ya kwanza kununua BTC??? Tembelea localbitcoins.com exchange za BTC kwenda tigopesa/mpesa zinaendelea kama kawaidawadau kununua bitcon imekua tatizo kwa aliyenunua cku mbil hiz anipe maujuz
NAJUA MKUU
HIO GAME IMETOKA 0-3
AKAULIZA UND 2.5 ?NKAMWELEKEZA
Mzee mwenzangu leo tafuta ticket tushindilie mzigo.Tiketi imekula duuuh aisee ilikuwa ya kushindilia mzigo hii, daaaaaah aiseee, nlikuwa naifuatilia kwa karibu sana aisee
Mzee mwenzangu leo tafuta ticket tushindilie mzigo.
Hii option inamaana kwa game nzima au kwa tim moja moja
Pamoja kamanda wangu.subir ndio nafanya uchambuzi