Vuta subra mzee baba, watakupa nadhani as long as wamesema unaweza kuitoaHizi hapa winsView attachment 1277213
Ifahamike kwamba Treni letu linaendelea saa 15:30 na limebakiza vituo 10' Tuendelee kuomba dua
wazee wa direct win uyu Coleraine ame anza kusulubiwa mapema mno
Mmh![emoji848][emoji848]Man city kwenye ubora wao
Treni la mwakyembe linakwenda mrama.[emoji23][emoji23]Man city tuonee huruma behewa letu
Man city analeta ujinga aiseeIfahamike kwamba Treni letu linaendelea saa 15:30 na limebakiza vituo 10' Tuendelee kuomba dua
Man city analeta ujina aisee
City kakusikia mkuuMan city analeta ujina aisee
Mambo yameharibikaThanks to Kelvin de bruyne