Salum Mazwazwa
JF-Expert Member
- Apr 28, 2015
- 1,256
- 1,369
Treni moja limebaki LA Odd5+ jah bless lituludishie mtaji
Instute 2-0 coleraine 79'Mwenye Matokeo ya coleraine aweke hapa maana kuna mdau alisema anataka kutia mchanaga ugali wetu
lipi hilo kaka?Treni moja limebaki LA Odd5+ jah bless lituludishie mtaji
Hahahahahahahahah kashakufa 2 bilaMwenye Matokeo ya coleraine aweke hapa maana kuna mdau alisema anataka kutia mchanaga ugali wetu
Tena kijiji cha ujamaa yanii nusu ya pato langu la jana limeishia kama majivu daaaah!!!Huu mchezo hatari ,city kaondoka na kijiji
Man city baba leo daaaah jojo bwana kama ametuona vile doooh leo betting niliiogopa tangu asubuhi leo kuna harufu ya damu huyu jamaa kaliwa sana week hii iliyopita leo tukae chonjo labda usiku wakina club bruge ,benice ,lergia angalau wanaweza tupa hela
Man city ulaaniwe
Wakuu nipeni njia ya kushare na nyi mkeka kwa njia ya mpawa maana Kuna muda nakuwa na kamkeka lakn jinsi ya kushare kutoka betpowa kuja jf ndo sioni option
Aiseee
Treni limekwamia Man City?
Kwajinsi wadau walivyo kua na imani litafika salama nimejisikia vibaya sana kukwamia hapo
Aluta continue
Mapambano yanaendelea
Tupia hata mmoja basi nikufuate maana nayatoleaga macho Yale mamillion yakoMkuu katika beti hupaswi kukata tamaa,ukiona umekula,jua kuna mwenzako kaliwa,wakati naanza kubeti na kampuni ya betipawa walikula sana hela yangu but kuna Sikh niliwafuma mamilion kwa sh 100 tu.so tusikate tamaa,Mimi nikiliwa sina Tania ya kulalama sababu huwa ninastake what i can afford to lose
Wakuu hivi option ya Total bookings over... inamaa gani?Mkuu katika beti hupaswi kukata tamaa,ukiona umekula,jua kuna mwenzako kaliwa,wakati naanza kubeti na kampuni ya betipawa walikula sana hela yangu but kuna Sikh niliwafuma mamilion kwa sh 100 tu.so tusikate tamaa,Mimi nikiliwa sina Tania ya kulalama sababu huwa ninastake what i can afford to lose