Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Kanji akiluka viunzi vyote vitano apo itabidi nipumzishe akili kidogo
Screenshot_20191130-183306.jpeg
 
Kanji akiluka viunzi vyote vitano apo itabidi nipumzishe akili kidogoView attachment 1277350
Mi kanji alishawahi kuruka viunzi kumi vyote tens kila kiunzi ni odds 2 tu tena double chance na jumla nilikuwa nimefunga laki mbili yaani kila kiunzi elfu ishirini we ombea tu utiki maana kanji ni nomaa sijui anabudu wapi
 
wakati huku mauaji ya kimbari yaki endelea chelshit naona ana kata viuno tu uko uwanjani
*****
Screenshot_2019-11-30-19-12-12-777_eu.livesport.FlashScore_com.jpeg
 
Chelsea nae anataka kufyekelea mbali treni nyingine iliyobaki.
Qummmamae reli ya TAZARA imesombewa na maji ya mvua,safari nyingine tena inakwenda halijojo,kweli siku ya kufa nyani miti yote huteleza[emoji23][emoji23][emoji23].maana mpaka sasa wenzake wanatoa flesh,wao wamekalia dudu mapema,ngoja niandae mkeka mwingine,hamna kitu hapa.
 
narudia tena hata siku moja usithubutu ukadhani CHELSEA anaweza kurudisha mechi yeyote baada ya kufungwa labda kwa kubebwa kama 4-4 na ajax....weka kichwani hilo ....wale wa cashout muwe makini nalo hilo
 
Back
Top Bottom