albert_speer
Senior Member
- Nov 26, 2019
- 167
- 153
Bet lost, Chelsea amemwaga mbogaChumaa🔥🔥🔥View attachment 1277164
Bet lost, Chelsea amemwaga mbogaChumaa🔥🔥🔥View attachment 1277164
Nani kafyatua Bomu kuilenga bombadia?
CheltakoolChelsea matako kishenzi...
Mwasiti na CheltakooNani kafyatua Bomu kuilenga bombadia?
[emoji23][emoji23]Yani nimemkimbia man city nikaangukia kwa Chelsea
[emoji23][emoji23]Leo mkulima alikuwa gomz mamaee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bombadia zimepindukaaa baada ya kupaa
Leo mabehewa yote yamepinduka pamoja na lile bombadia nalo limedondoka kutoka angani da
pamoja mkuu.
Hizi Odds duuh !!! ... kuna watu wanajua kuoteshwa miujiza ...
View attachment 1277520View attachment 1277521View attachment 1277522View attachment 1277524View attachment 1277525
Mkuu instinct yako imekwenda halijojoMpe bayern kickoff 1 odd 1.9 usiseme sikukwambia stake everything you have
Hiyo ni app inaitwa betwall kila mtu ana post mkeka anavyoona yeye.Huyu anaitwa nani????