Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

50/50
Screenshot_2019-12-01-00-06-22-1.jpeg
 
👉ARGENTINA🚩🚩🚩LEAGUE👈
👉 BOCA JUNIOR - ARGENTINOS=[X] FT👈
•••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••
👉 KICK OFF TIME:23:40👈
👉 100% FIXED MATCH 👈
MATOKEO MENGINE HIVI HIYO DRAW IPO AISEE
2019-12-01_01-11-15.png
 
I own at least 15+ different betting accounts but I remember this day *15-9-2015 * I registered my first sport betting account until now more than 15mil lost not forgetting many hours wasted. I think it's time to take a fuckin long break & rethinking my methods on this gambling habit. Goodluck fellows.
 
Kuna kitu nimekifuatilia kwa muda mrefu ila naanza kukiamini.
Mara nyingi huwa naamka asbuhi mapema sana kuangalia odds wanazopewa timu kubwa, kisha mchana pia huwa naangalia tena hizo odds kama zina mabadiliko, hapa ndipo nilipojifunza kitu.
Ukiona timu kubwa zinacheza siku hiyo na asbuhi alipewa odds kidogo mfan liver kapewa 1.2 kisha mchana ukashangaa kaongezeaa mpaka 1.5 kimbia acha kabisa kumpa kwani kutaweza kutokea hatari kubwa sana mfano wa leo.
Buyern alipewa odds 1.2 toka mwanzo ila ilivyofika tu mchana makampuni mengi yakampandishia odds mpaka 1.9 na kilichotokea ndo hicho, hivyo inabidi tuwe makini na hizi odds zinazopanda asee
Ukiona hivyo ujue biashara ya kuuziana mechi kati ya timu husika na "Mhindi" ishafanyika.
 
leteni mapema kutoka huko betwall leo tudese tu nae jamaa😂
 
Back
Top Bottom