Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hii betting niliiona Jana kabla mechi hazijachezwa nkaona Kama jamaa anafanya masihara na kazi za watu kumbe mm ndo nilikuwa namfanyia masihara jamaa wa watu. Dah hyu jamaa mbona simuelewi????
Screenshot_20191201-084734.jpeg
 
Scamer hawa wez sana
Mkuu sidhan Kama umenielewa hzo mechi huwa zinabetiwa kabla na watu tunaziona Sana sema ndo hvyo Tena dharau tunaleta mwisho wa siku tunajilaumu. Hizo betting za wallbet niliziona kabla hata hazijachezwa sema dharau ndo inasababisha majuto. Kuna siku nilona Odd 776 mechi 10 nikadharau nkamuonesha na rafiki yangu akasema achana nazo kesho asubuh naamka kuangalia zimetoa odd 776 yaan nilijilaumu Sana kwann sikuweka hata 500 ingepata hata 300k. Hzo n za kweli na hata zipo zingine nyingi tu sema ndo hvyo huwez jua ya Nan itatoa.
 
Mkuu wewe tupia kwan humu huwa tunajua nani atashinda bhasi ni ile ku jarbu tu
 
Mkuu sidhan Kama umenielewa hzo mechi huwa zinabetiwa kabla na watu tunaziona Sana sema ndo hvyo Tena dharau tunaleta mwisho wa siku tunajilaumu. Hizo betting za wallbet niliziona kabla hata hazijachezwa sema dharau ndo inasababisha majuto. Kuna siku nilona Odd 776 mechi 10 nikadharau nkamuonesha na rafiki yangu akasema achana nazo kesho asubuh naamka kuangalia zimetoa odd 776 yaan nilijilaumu Sana kwann sikuweka hata 500 ingepata hata 300k. Hzo n za kweli na hata zipo zingine nyingi tu sema ndo hvyo huwez jua ya Nan itatoa.
Ni sawa kwako ww kwangu mm no

Ili kuepuka mabishano basi tufanye ww upo sahihi
 
Niliwai bahatisha odd elfu mbili na kitu mule tena katika hiyo bet slip mwana alieka mechi kama mbili Under 0.5 katika mechi 10 nikasema liwalo na liwe nikaeka mpunga kesho yake nikaona green. Ila nilieka mtaji mdogo sana da
 
Ni sawa kwako ww kwangu mm no

Ili kuepuka mabishano basi tufanye ww upo sahihi
Umekosea Kutumia Neno Scammer Katika Kitu Ambacho Haukifahamu.

Tusiwe Hivyo Sio Vizuri, Ungeuliza Tu Hiyo Ishu Ipoje Kama Hujui Au Ungekaa Kimya

Siku Wewe Ukipost Kitu Hapa MTU Akaandika Scammer Utajisikiaje??

Hiyo No App Watu Wanasuka Mikeka Bure Kama Utabiri Tu Then Wanashare Ila Inakuwa Monitored So Ikishinda Inaonekana.

Jamaa Kaona Kauweka Hapa Wewe Una Comment "Scammer"

Inawezekana Upo Sahihi Wewe, Hebu Tuelezee Scammer Kivipi??

Hizi Tabia Ndio Zinaharibu Jukwaa Hili, Zinafanya Watu Waogope Kushare Wataitwa Matapeli.

UBADILIKE, ACHA UTOTO.
 
Back
Top Bottom