Shauri
JF-Expert Member
- Nov 16, 2010
- 805
- 453
tupe madini kakaLeo team zimekaa njema sana kama week iliyopita leo khanjii lazima alie kwa namna yoyote ile,ila jini anaweza kuwa Leicester, lask,napoli
tupe madini kakaLeo team zimekaa njema sana kama week iliyopita leo khanjii lazima alie kwa namna yoyote ile,ila jini anaweza kuwa Leicester, lask,napoli
Ndio maana yake",.Mkuu hiyo 0/1 ya wolves ni HT/FT au?
KhaaaAjax kashaliwa huko 2
Kweli ndugu yangu nimejifunza kitu kuanzia Jana yaan Sasa hvi ningekuwa naongea mengine.Kila unachokiwaza kiweke katika vitendo
Mfate live anashinda huyu jeshiAjax anaondoka na kijiji mapema aisee
jamaa ana mdomo mbaya ..akisema kitu kinatokeaAnafunga mahesabu mapema tuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119]
Mkuu sidhani kama ni dharau kwasababu betswall watu wanaotuma mikeka ni maelefu kwa maelfu, hata wewe uki register unatuma tu mikeka hata 1000 kwa siku bila gharama yoyoteMkuu sidhan Kama umenielewa hzo mechi huwa zinabetiwa kabla na watu tunaziona Sana sema ndo hvyo Tena dharau tunaleta mwisho wa siku tunajilaumu. Hizo betting za wallbet niliziona kabla hata hazijachezwa sema dharau ndo inasababisha majuto. Kuna siku nilona Odd 776 mechi 10 nikadharau nkamuonesha na rafiki yangu akasema achana nazo kesho asubuh naamka kuangalia zimetoa odd 776 yaan nilijilaumu Sana kwann sikuweka hata 500 ingepata hata 300k. Hzo n za kweli na hata zipo zingine nyingi tu sema ndo hvyo huwez jua ya Nan itatoa.
Khaaaa[emoji25][emoji25][emoji25]Anafunga mahesabu mapema tuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119]
Mzee mwenzangu leo tafuta ticket tushindilie mzigo.