Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Guys inakuwaje at first time umelipia mkeka inaonekana umeshinda 55,000/=

Ukalipa na slip ikaonekana kabisa ukasubili timu zicheze, but baada ya muda unakuta slip imechange from 55,000/=to 47,000/=

Hapa inaonekana odd zimepungua, sasa nan kapunguza wakat slip ishalipiwa,

Au hata kama game inaendelea ikishuka odd kama ulikuwa umelipia inashuka tena??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]aisee
 
Jaribu bahat yako
Screenshot_20191201-160440.jpeg
 
Guys inakuwaje at first time umelipia mkeka inaonekana umeshinda 55,000/=

Ukalipa na slip ikaonekana kabisa ukasubili timu zicheze, but baada ya muda unakuta slip imechange from 55,000/=to 47,000/=

Hapa inaonekana odd zimepungua, sasa nan kapunguza wakat slip ishalipiwa,

Au hata kama game inaendelea ikishuka odd kama ulikuwa umelipia inashuka tena??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]aisee
Parimatch wana hiyo michezo na wakati mtu umekataa change of odds. Unaweka mkeka inaonyesha utashinda 15000 ila ukishinda unastaajabu ni 14600 (mbali na kodi). Ni WIZI TU.
 
Pain killer ukishaweka bet tu, manake umeingia mkataba halali na bookie kwa wewe kuweka hela ili matokeo yawe kama ulivyoweka kulingana na aina ya bashiri na vigezo na masharti yake.
Hakutakiwi kabisa kufanyika mabadiliko yoyote ya odds au potential winning mara baada ya bet kuwekwa, isipokuwa tu kama;
Mechi moja au kadhaa zimeahirishwa, ambapo kisheria calculation itafanyika kwa (total odds x stake kisha gawanya kwa odds za mechi iliyoahirishwa)
Kwa hesabu za hapo juu ushindi utapungua.
Kama hakuna mechi iliyoahirishwa na umepewa pungufu ya kiasi ulichothibitisha kubet, basi utakuwa umeibiwa mchana kweupe.
 
Guys inakuwaje at first time umelipia mkeka inaonekana umeshinda 55,000/=

Ukalipa na slip ikaonekana kabisa ukasubili timu zicheze, but baada ya muda unakuta slip imechange from 55,000/=to 47,000/=

Hapa inaonekana odd zimepungua, sasa nan kapunguza wakat slip ishalipiwa,

Au hata kama game inaendelea ikishuka odd kama ulikuwa umelipia inashuka tena??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]aisee
Hakuna odds ambazo game zake zimeingia kwenye refund?
 
Pain killer ukishaweka bet tu, manake umeingia mkataba halali na bookie kwa wewe kuweka hela ili matokeo yawe kama ulivyoweka kulingana na aina ya bashiri na vigezo na masharti yake.
Hakutakiwi kabisa kufanyika mabadiliko yoyote ya odds au potential winning mara baada ya bet kuwekwa, isipokuwa tu kama;
Mechi moja au kadhaa zimeahirishwa, ambapo kisheria calculation itafanyika kwa (total odds x stake kisha gawanya kwa odds za mechi iliyoahirishwa)
Kwa hesabu za hapo juu ushindi utapungua.
Kama hakuna mechi iliyoahirishwa na umepewa pungufu ya kiasi ulichothibitisha kubet, basi utakuwa umeibiwa mchana kweupe.
Mkuu wameshanipaa taarifa kuwa game ya psg imeahirishwa na niliibetia

So wamepunguza ili hata kama zikiwin hizo nyingine wanipe moja kwa moja bila kusubili psg vs monaco kucheza
 
Back
Top Bottom