Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Umekosea Kutumia Neno Scammer Katika Kitu Ambacho Haukifahamu.

Tusiwe Hivyo Sio Vizuri, Ungeuliza Tu Hiyo Ishu Ipoje Kama Hujui Au Ungekaa Kimya

Siku Wewe Ukipost Kitu Hapa MTU Akaandika Scammer Utajisikiaje??

Hiyo No App Watu Wanasuka Mikeka Bure Kama Utabiri Tu Then Wanashare Ila Inakuwa Monitored So Ikishinda Inaonekana.

Jamaa Kaona Kauweka Hapa Wewe Una Comment "Scammer"


Inawezekana Upo Sahihi Wewe, Hebu Tuelezee Scammer Kivipi??

Hizi Tabia Ndio Zinaharibu Jukwaa Hili, Zinafanya Watu Waogope Kushare Wataitwa Matapeli.

UBADILIKE, ACHA UTOTO.
Kwa ufupi kama hawakuchaji pesa huo uscammer unatokea wapi?

Jamaa akubali kujifunza tu hivo vitu vipo kama hao betswall wapo ila kujua who has luck kwa siku hiyo ndio ngumu.
 
Mkuu wewe tupia kwan humu huwa tunajua nani atashinda bhasi ni ile ku jarbu tu
Nimeendaka wall link nimechagua vyuma kadhaa wa kuweka kwenye treni langu natuma kabla mechi haijaanza ili baadae tumalize utata kua ni kweli au uongo
Screenshot_20191201-104813.jpeg
Screenshot_20191201-104803.jpeg
Screenshot_20191201-104741.jpeg
Screenshot_20191201-104723.jpeg
 
Wadau .....Naomba msaada Wa Kupata Option ya no penalts ....au no Red card...Kwa KAMPUNI ya Play Master(PM)...kila nikiitafuta Siipati wakubwa...Msaada please
mkuu simama hapo hapo mimi hii opt inanitoaga kila wikienda kati ya mikeka 3 lazima moja utiki sema inabid uweke dau nono.
 
Wakuu mbona nikitaka ku deposit kwenye bet pawa naambiwa transation cancel shida nn anae fahamu msaada please
 
Mkuu Sultan S. Abdallah tupate treni la leo bado nina imani kubwa sana na ww
 
Leo team zimekaa njema sana kama week iliyopita leo khanjii lazima alie kwa namna yoyote ile,ila jini anaweza kuwa Leicester, lask,napoli
 
Back
Top Bottom