Buddy
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 7,117
- 8,885
View attachment 1277575
Imagine hiyo ndo ingekuwa hela kweli[emoji16]
Noma sana
View attachment 1277575
Imagine hiyo ndo ingekuwa hela kweli[emoji16]
Sio mtu mmoja, Tipsers tofauti tofautiHuyu anaitwa nani????
Chelsea, City na Bayern wamejua kutunyoosha leo.Bayern hali tete
Never give up mkuu, tujipange upya.Leo ni "bad day" mabehewa yetu yote yameanguka kupitia mwasiti na chelshit so sad!
Tupo pamoja mkuu, tujipange upya mapambano bado yanaendeleaLeo ni "bad day" mabehewa yetu yote yameanguka kupitia mwasiti na chelshit so sad!
Bet won50/50
Kama unaamini game ya genoa atakufa mtu
Stake what you can afford to lose View attachment 1277571
Bet won
Kuna kitu nimekifuatilia kwa muda mrefu ila naanza kukiamini.
Mara nyingi huwa naamka asbuhi mapema sana kuangalia odds wanazopewa timu kubwa, kisha mchana pia huwa naangalia tena hizo odds kama zina mabadiliko, hapa ndipo nilipojifunza kitu.
Ukiona timu kubwa zinacheza siku hiyo na asbuhi alipewa odds kidogo mfan liver kapewa 1.2 kisha mchana ukashangaa kaongezeaa mpaka 1.5 kimbia acha kabisa kumpa kwani kutaweza kutokea hatari kubwa sana mfano wa leo.
Buyern alipewa odds 1.2 toka mwanzo ila ilivyofika tu mchana makampuni mengi yakampandishia odds mpaka 1.9 na kilichotokea ndo hicho, hivyo inabidi tuwe makini na hizi odds zinazopanda asee
Kampuni gani hii mkuuBooom!!!Tren limejibu!View attachment 1277694
Option utaikuta kwenye OTHER MARKETS na KICKSWadau .....Naomba msaada Wa Kupata Option ya no penalts ....au no Red card...Kwa KAMPUNI ya Play Master(PM)...kila nikiitafuta Siipati wakubwa...Msaada please
Kampuni gani hii mkuu