Wakuu msaada wa tafsiri hapa "FH 0.5" maana yake nini?
Aiseee
Yaani nimepisha na hela hivi hiviiiii
Daah
Chelshit
kweli amerudisha na kuongezaAcha wewe chelse anarudishaa..
Option Zote ni kamariMpe bayern kickoff 1 odd 1.9 usiseme sikukwambia stake everything you have
Trust me mkuuOption Zote ni kamari
But this one is pure kamari
Kurusha shilingi [emoji28][emoji28][emoji28]
Option Zote ni kamari
But this one is pure kamari
Kurusha shilingi [emoji28][emoji28][emoji28]
Kinachoumiza kwenye betting baada ya kuloose SIYO ILE STAKE ULIYOWEKA ila NI ILE POTENTIAL WINNING ikiwa mkeka umetiki .Mkuu katika beti hupaswi kukata tamaa,ukiona umekula,jua kuna mwenzako kaliwa,wakati naanza kubeti na kampuni ya betipawa walikula sana hela yangu but kuna Sikh niliwafuma mamilion kwa sh 100 tu.so tusikate tamaa,Mimi nikiliwa sina Tania ya kulalama sababu huwa ninastake what i can afford to lose
Mkuu ngoja nitembelee nyota yako bana mybe instinct yako ipo sawaWeka 10k jaribu ukikosa nakurudishia naona huniamini
Shukran Sana mkuu[emoji120]FH First half over/under 0.5
Shukran Sana mkuu [emoji120]First half lipatikane Goal 1.
Nani kafyatua Bomu kuilenga bombadia?Leo mabehewa yote yamepinduka pamoja na lile bombadia nalo limedondoka kutoka angani da