Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wazee Nina maswali

Hivi betpawa ishakuwa fresh haizingui tena ?

Kima cha chini kabisa sahivi kutoa ni bei gani ?betpawa au wamebadilisha
Iko powa kabisa haizingui, kima cha chini kutoa ni 1,000 na kuwepa hata shilingi 50 inakaa
 
Kuweka hela: Tumia Airtel money mastercard

Kutoa hela: Sijafikia minimum amount ya kuwithdraw kujua kama inatoa hela.
Njoo inbobo nikupe APK ujiunge mengine yatafuata ila kuweka AIRTEL MONEY MASTERCARD au BITCOIN kutoa pia njia ulizotumia kuwekea
 
wakuu hizi point kumi wacha mzungu achukue hela yangu kidogo kama zikiua basi ila naweka mzigo wangu hapa, japokuwa waingereza nawaogopa aisee....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…