Street Hustler
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 2,278
- 4,525
Jana usiku barcelona kaharibu odds 30, niliomba 2+ tu wenyewe wakaishia goal 1.
Jamani tarehe 12 kuna game ya ASTON VILLA V LIVERPOOL. Liver kapewa odds 8+, lakini pia tar 12 ana game pia. Kwa anayetaka kufanya mauaji ni fursa lakini pia azingatie hiyo ratiba.
Itakuwa ya Kuwait hyo