Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wakuuu nimepigwa kama laki kuanzia ijumaa natafta kitanzi[emoji26][emoji26][emoji26]
Usijinyonge mkuu, huo ndio upambanaji kwa kijana wa mtaa, Never give up [emoji16][emoji16][emoji16]
 
70%

Stake what you can afford to lose
Screenshot_2019-12-01-20-30-53-1.jpeg
 
Betting mbaya sana badala kupanda gari za kwenda kwetu goms nimejikuta niko mbagala rangi tatu!! Yanii sijuii hata hii gari ya mbagala nimepanda saa ngapi daaaah!! Leo hichi kipigo kinaitwa sitakii mazoea !!! Hali ni tete
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan kuna wakati unataman ungekua kocha ww upange kikosi
 
Guys inakuwaje at first time umelipia mkeka inaonekana umeshinda 55,000/=

Ukalipa na slip ikaonekana kabisa ukasubili timu zicheze, but baada ya muda unakuta slip imechange from 55,000/=to 47,000/=

Hapa inaonekana odd zimepungua, sasa nan kapunguza wakat slip ishalipiwa,

Au hata kama game inaendelea ikishuka odd kama ulikuwa umelipia inashuka tena??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]aisee
Hapo angali mkuu vzuri lazma Kuna mechi imekuwa postponed
 
Jamaa wajanja sana juzi kati hapa walilegeza kidogo koki raia wakajichotea watakavyo wakafurahi kinoma...Leo wamekaza ile nganganga lawama zimeanza! Ndio ile ya kusema ngoja msimu uanze nimkomeshe,umeanza ni vipigo kwende mbali...mwisho wa siku tumekua Kama wachimba madini tunajipa moyo deile..iko siku..!
 
Wangetuambia tu kuwa leo ni usiku wa draw EPL tusingeangaika na direct. Au wangesema tumieni matomeo ya waliotangulia kubashiri CS na HF ingetosha sana.
 
Onyoo

Kwa wale wenye wake, betting inapunguza nguvu za kiume hasaa hii wiki, inasemekana wanaume wanaingia kitandan jogoo haeleweki
Ahahhahaaa wewe jamaa utakuja kunitibu mbavu zangu yaani nimecheka mpaka nikasahau kitu kanjibay kanifanya leo[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Back
Top Bottom