Street Hustler
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 2,278
- 4,525
Jana usiku barcelona kaharibu odds 30, niliomba 2+ tu wenyewe wakaishia goal 1.
Jamani tarehe 12 kuna game ya ASTON VILLA V LIVERPOOL. Liver kapewa odds 8+, lakini pia tar 12 ana game pia. Kwa anayetaka kufanya mauaji ni fursa lakini pia azingatie hiyo ratiba.
ndo hiii auJana usiku barcelona kaharibu odds 30, niliomba 2+ tu wenyewe wakaishia goal 1.
Jamani tarehe 12 kuna game ya ASTON VILLA V LIVERPOOL. Liver kapewa odds 8+, lakini pia tar 12 ana game pia. Kwa anayetaka kufanya mauaji ni fursa lakini pia azingatie hiyo ratiba.
nimechungulia hiziJana usiku barcelona kaharibu odds 30, niliomba 2+ tu wenyewe wakaishia goal 1.
Jamani tarehe 12 kuna game ya ASTON VILLA V LIVERPOOL. Liver kapewa odds 8+, lakini pia tar 12 ana game pia. Kwa anayetaka kufanya mauaji ni fursa lakini pia azingatie hiyo ratiba.
[emoji23][emoji23][emoji23]Yaani LAKERS hapa akifungwa atanifanya nisitumikie ndoa mpaka sasa kabaki yeye .... Hata hamu na wife haipo nipo sebuleni nacheki live manina walahi .... Dunia hatutoijaza kama Mungu alivyoagiza
Under/Over 3.5 goli jumla ya goli zitakazopatikana zisizidi 3(under 3.5) au zianzie 3 (over 3.5).Wakuu Mara nyingi nimebet kwa direct win kutokana na kutojua hiz options nyingine sasa Leo naomba nijue options Hizi mnifafanulie
1) under 0.50 over 0.50
2)under 1.50 over 1.50
3)under 2.50 over 2.50
4)under. 3.50 over 3.50
Kuna hii pia kitu inaitwa both TEAM TO SCORE ( GG YES) naomba ufafanuzi piay
Double chance /1 or x /x or 2
Correct score
0:0
0:1
0:2
NAOMBA UFAFANUZI WAKUU
Mkila ndo mnashare ili kuturingishia (Alisikika mkamaria mmoja aliyefirisiwa na kamari[emoji23][emoji23][emoji23]) Congrats mpwa j3 yako imeanza poa.
1 means Home teamWakuu Mara nyingi nimebet kwa direct win kutokana na kutojua hiz options nyingine sasa Leo naomba nijue options Hizi mnifafanulie
1) under 0.50 over 0.50
2)under 1.50 over 1.50
3)under 2.50 over 2.50
4)under. 3.50 over 3.50
Kuna hii pia kitu inaitwa both TEAM TO SCORE ( GG YES) naomba ufafanuzi piay
Double chance /1 or x /x or 2
Correct score
0:0
0:1
0:2
NAOMBA UFAFANUZI WAKUU
Ha ha ha ha tumezoea kwa hawa wadau wakila ndio wanatokeaMkila ndo mnashare ili kuturingishia (Alisikika mkamaria mmoja aliyefirisiwa na kamari[emoji23][emoji23][emoji23]) Congrats mpwa j3 yako imeanza poa.
Asante mkuu kwa ufafanuzi unaposema timu zifungane haitojalisha hata 2:2 au 1:1 hata 1:21 means Home team
x means draw
2 means away team
1x means home or draw
12 means home or away win
x2 away draw or win
GG both team to score
Zingne naona kuna mdau kakuelezea hapo...
Under/Over 3.5 goli jumla ya goli zitakazopatikana zisizidi 3(under 3.5) au zianzie 3 (over 3.5).
Both team to score maana yake timu zote zifungane.
Mkuu naomba nkusaidie kitu kimoja nenda kwenye beting site yako ukisoma regulations zao utaelewa option nyingi sana , na masoko utayafurahia kuliko kuuliza kimoja kimoja!!Asante mkuu VP kuhusu hizi under 0.50 over 0.50
Mkuu naomba nkusaidie kitu kimoja nenda kwenye beting site yako ukisoma regulations zao utaelewa option nyingi sana , na masoko utayafurahia kuliko kuuliza kimoja kimoja!!
nenda google andika bet pawaNi kweli mkuu Kama una elimu hii usisite kutuelimisha huko nimeenda naona nyota nyota tu sijaona Maelezo mazuri ndio maana nimekuja hapa mkuu