Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mi nimejaribu hockey siku tatu mfululizo na sija lost .Naingia pale h2h stats naangalia timu alipewa ushindi then naenda kumuwekea cap ya magoli mawili odds zinakua 1.16 ko najichagulia timu zangu tano napata odds mbili stake mlima.
Unatumia kampuni gani mkuu kwenye hockey
 
[emoji23][emoji23]BOOOOM!!!
HII niliweka nkaacha cm charge kukuta imetitck

Stake; Elfu 53000 Won 63600

Faida= 10600

[emoji855]Imeisha hiyoo

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…