Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

yani bora angeweka behewa la odds 800+ hiv aka stake hiyo 82 ningemuelewa!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kuna watu wana balaaaaa usiku wote huu mtu anasaka mia 2
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
MASIHARA HAYA
Odds 1,000,000
Stake sh 7
Posibo won 24m
 

Attachments

  • Screenshot_20191203-233152.png
    33.6 KB · Views: 16
Mkeka wangu umeshikiliwa na hatma ya fiorentina wengne wote wamefanya kweli nilimpa ashnde anaongoza ila mmoja ana red card hapa natetema tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…