Mkuu nivizuri kabla ya kubet kuangalia msimamo wa ligi, currently form ya timu na head to head nk
Inasaidia angalau
Na mm nimeshangaa, nimelipuka nao hivyo hivyo
Mkuu nivizuri kabla ya kubet kuangalia msimamo wa ligi, currently form ya timu na head to head nk
Inasaidia angalau
[emoji848] Sio lazima ulewe, utaelewa second half, hiii mechi Mimi hata in play sigusi kbsaaaIla haya makampuni ya kamali yanacheza Sana na akili zetu kabla ya game sassuolo alikuwa na 1.95 ila perugia anaongoza bado anapewa 2.00 ukiivaa wanaweka draw ukiweka draw perugia anashinda Kama ilivyo na goli anafunga lingine
Kurisk milioni 1 kwa faida ya laki 2 HAPANA KWA KWELI
May be apige sub's za kutoshamkuu unamaanisha kwamba sassuolo atachomoa?
Game za hivi kwanin usibet magor tu, haina haja ya direct winKati ya wachezaj 11 wote wa sassuolo vs juve, only one player ndo kaanza 1half na mwenyew forward[emoji23] hata kipa ni 2nd option
Hizi mechi za vi league cup tuwege makin
ukistuka odds kubwa stuka find out why,??
Sishangai kuona much sub's za sassuolo na game kuisha 4-3 3-2 au akalazwa 3-2/ 2-2 1-2
Bora magolii yanatoaGame za hivi kwanin usibet magor tu, haina haja ya direct win
Hahaha ... wanaunguza nyumba huko. GrrrrrNa mimi nimeamua nilipuke nao
AiseeeeeNisaidie ya man u v Tottenham nitafutie h2h, current form na even home and away records then njoo unipe namna ya kubet hyo game
Niaje arifu?
mkuu ndio unaanza leo kujifunza kubet?Nisaidie ya man u v Tottenham nitafutie h2h, current form na even home and away records then njoo unipe namna ya kubet hyo game
Broo game ukiiona ngumu achana nayo mbona timu nyingi tyu leoNisaidie ya man u v Tottenham nitafutie h2h, current form na even home and away records then njoo unipe namna ya kubet hyo game
Jaza namba za muamala kwenye code, then complete transactionWauu nimeweka pesa GL sport lakin sion
Jaza namba za muamala kwenye code, then complete transaction View attachment 1281778