Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Ukiskia dunia haina huruma yani wajinga wana toka 0-0 kweli 0.5over odd 1.07 inaninyima pesa
IMG_20191207_000050_021.jpeg
 
direct win huko vip naona ajax kashatibua safar za tren ya delux za kwenda mosh
Screenshot_20191207-000249.jpeg
 
[emoji23] nataka siku moja niandae battle Mimi na
jimmy yeye aspini Mimi niende inplay(live betting) jimmy naomba kubali hii battle

Tupange na siku kbsaa
I ntakua nakupa backup 😃😃.
Iyo virtual nn sijui ni pure bahati nasibu sio kama betting za soccer ambazo walau zinakua na calculated risk
 
kashasepa na kijiji kitambo mojomba ohooo, wenzio tunaanza njia mbadala ya kupat pesa hii bet hii kwanza inatufanya tusiwe romantic kwa madem zet,unakaa kimachalemachale mda wote kama nyani
Mimi leo ni mwisho nilizoliwa zimetosha sasa ENOUGH IS ENOUGH hii imekuwa ni Too much Mimi na Betting kuanzia leo tar 7 Dec Nimenyoosha mikono.
 
Back
Top Bottom