Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Spin ni noma acheni upepo ukikupitia unaweza ukasema ndani ya nusu SAA nakuwa fogo wa hata miliioni mia ila sasa upepo ukipita pembeni lazima urudi kubeti mpira ambao bado haija wapiga pesa nikisema hivi hawata nielewa ila ambao tushanyonywa wameelewa
 
ii nmeicheza casino inaitwa uropean roulette n atar uu mchezo unapuna ata m1 kwa sekunde unaeza jaza black na red ikaangukia kijan ofa[emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani unaanza kuspin na laki yaani hata dakika tatu huchukui ela imekata yote aisee bora ufanye mengine
 
inter v rom hata 0.5 wamegomea mh wazee wa mikeka jipangen upya hii ni tim ya kanji kutamba kam aslay
 
Huyu mwamba hii stake angeleta mapemaaa sasa hivi angekuwa anacheka tuu maana mechi zotee zimetck tangu asbh ttzo lilikuw ile mechi ya melbone kaileta sa 11.40 hiv nakesha stake afu unaona kbsaa small mistake inakuj kumuhrbia mechi ya melbone kaipa over1.5 H1, atleast angepig ft over 2 ingetoa, huo ulkuw mfano. Ila tuache ubnafsi unapnga mkeka unakuparua
afu ujatushlksha[emoji855] kuwen mfano kwa mayu
tapatalk_1575637156389.jpeg
 
Jana nilkuja na mkeka wa maamuz magum
Arsenal FT1
Cagriali btts yes
she.untd FT1X

Odds 3.26

Nikawashirkisha nipeni nahitaji 5 votes nistake or not, nikapata 3votes kwani niliuweka basi ilibidi nii ignore na nilishukuru maana mkeka ulikuwa kushoto hatari[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom