Gwangzu
JF-Expert Member
- Dec 21, 2017
- 2,457
- 3,819
Mkuu unapenda sana porn?hii ndo ilikuwa back to back na muhindi kwa siku ya Jana na kuamkia leoView attachment 1284235
Mkuu unapenda sana porn?hii ndo ilikuwa back to back na muhindi kwa siku ya Jana na kuamkia leoView attachment 1284235
Achana kabisa na namba mkuu cheza na rangi
Kwahiyo nikiselect mfano black na ikaliwa naweka tena kwa black mpaka itapo tick,..Na vipi kuhusu hizo rang nyingine nfano green?..Iyo black ukipata inakupa kias gan?Achana kabisa na namba mkuu cheza na rangi
So buku pale inasoma 1.2k..Mfano ikiliwa iyo then nakuja na mara mbili ya iyoView attachment 1284285tumefikia hapo
Football bye bye
Mkuu ulikuwa unatumia option gani mkuu
Rudia na ufafanue somo la ku double rangi.View attachment 1284285tumefikia hapo
Football bye bye
Pale kuna spin aina mbili...kuna royale na ile nyingine.So ipi iko poa zaid?Na wasiwasi hili gurudumu litaondolewa muhindi asije filisika
Bet won
Bet won
Bet won
Ngoja tuambizane ukweli hili gurudumu lina asilimia 80 ya kukupiga na asilimia 20 kulipiga mi nimecheza kila option mpaka sasa niliamuwa tu acha nilitest kwa 15k na ukiamuwa kudoble rangi hakikisha una mtaji maana unaweza kuamuwa kuwa wewe ni black tu halafu usiamini red ikacheza Mara kumi hapo ndipo utajua maana ya gurudumu mi imenitokea hiyoSo buku pale inasoma 1.2k..Mfano ikiliwa iyo then nakuja na mara mbili ya iyo
Kwahiyo nikiselect mfano black na ikaliwa naweka tena kwa black mpaka itapo tick,..Na vipi kuhusu hizo rang nyingine nfano green?..Iyo black ukipata inakupa kias gan?
Haliwezi ondolewa tena gurudumu ndo mafia kabisa hata uwe na millioni mia unaweza ukapigwa zote dakika na lenyewe ndio kamari matata zaidiNa wasiwasi hili gurudumu litaondolewa muhindi asije filisika
Sungu sungu usiku umelala kweli au umekesha na gurudumu
Rud
Rudia na ufafanue somo la ku double rangi.
Ngoja tuambizane ukweli hili gurudumu lina asilimia 80 ya kukupiga na asilimia 20 kulipiga mi nimecheza kila option mpaka sasa niliamuwa tu acha nilitest kwa 15k na ukiamuwa kudoble rangi hakikisha una mtaji maana unaweza kuamuwa kuwa wewe ni black tu halafu usiamini red ikacheza Mara kumi hapo ndipo utajua maana ya gurudumu mi imenitokea hiyo