project planner
JF-Expert Member
- Jul 8, 2019
- 1,170
- 1,562
Usiseme Mara NNE au tank mi ilinikomalia nyekundu Mara kumi nikakaza roho nikasema Mara ya kumi na moja hii lazima Mara kuzungusha hivi si ikaja kijani badala ya nyeusi nikaaacha hapo hapo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aiseee
Kweli kama huna mtaji kuna mda inaweza kukukomalia rangi aiji lkn haiwezi zidi attempts nne au tano rangi haijaja