Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hahahah, nakubali mkuu Sungusunguu ngoja na mm nijaribu

Uu mchezo unanoga ad siutamani mpira[emoji23][emoji23][emoji23]
Nilianza na elfu5
IMG_7062.JPG
 
Mkuu hongera wengine tumetoka huko baada ya kuachwa mikono kichwani kidogo tunapumzisha akili japo kina aserno wanazingua lakin pesa ya vocha inapatikana kuliko huko uliko huko ni upepo wa kisulisuli ukienda na ww utajiona ww bingwa ngoja ubadili uelekeo unaweza zani kuna mtu yupo anasubiri uweke namba aweke kaset mitambo kinyume na ww spin two sichezi teeeena hata mnionyeshe million ngap bora nikop mkeka bila kueedit kuliko huko.
View attachment 1283643ngoja nacc tuujaribu uu naona unakuja kuja apo nilitaka stake laki mbili muindi angefunga duka
 
Mkuu hongera wengine tumetoka huko baada ya kuachwa mikono kichwani kidogo tunapumzisha akili japo kina aserno wanazingua lakin pesa ya vocha inapatikana kuliko huko uliko huko ni upepo wa kisulisuli ukienda na ww utajiona ww bingwa ngoja ubadili uelekeo unaweza zani kuna mtu yupo anasubiri uweke namba aweke kaset mitambo kinyume na ww spin two sichezi teeeena hata mnionyeshe million ngap bora nikop mkeka bila kueedit kuliko huko.
Huu mchezo bwana acha tu mwanzoni nimeufurahia nilianza na buku saba nikapigwa nikairudisha tena nikaipandisha mpaka elfu ishirini imenipiga yote tena na zaidi
 
Unadownload kampuni mfano kama ni www.princessbet.co.tz au www.parimatch.com kisha unajisajili unaingia kwenye virtual games spin to win. Kuna namba kuanzia 0-36 zimegawanyika katika makundi matatu kuna dozen namba 1 ambazo ni namba 1-12 kisha dozen namba 2 amabzo ni namba 13-24 na mwisho ni dozen namba 3 amabzo ni namba 25-36 kisha kuna rangi ambazo ni nyekundu nyeusi na kijani lakini kijani inajitegemea peke ake.. thamani ya namba 1 ni point 36 kwahiyo ukiweka dau la shilingi mia tano kwa namba moja na ikashinda basi utakua umeshinda kiasi cha shilingi elfu kumi na nane
huu mchezo ni mgumu sana subiria ukianza kukugongesha hautasahau
 
TOTAL ODDS 2
Fenerbahce Vs. Genclerbirligi 2+goals
Hamburger Vs. Heidenheim 2+goals
Almere city Vs. Top Oss 3+goals
 
Back
Top Bottom