Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hii na Parimatch, kuna option ya kucheza virtual, hii ina kua una cheza japo sio uhalisia mfano kuna football, farasi na hio ya table, matokeo ni ndani ya dakika 3.

Tuje kwenye hii ya table.
Ukifungua parimatch nenda kwenye option ya VIRTUAL, chini utakutana hizo option.

Chagua stake yako inaanzia 300/= hadi 5,000/=

Weka ubashiri wako. Mfano ikitokea gurudumu la bahati litazungushwa (spin) alama/mshale utaangukia kwenye namba kati ya 1-12 au itaangukia kwenye rangi Nyeusi, au itaangukia kwenye number yoyote uliochagua (japo ni option ngumu ila ndio yenye odds nyingi)
Ukiweka ubashiri wako.

Gusa hio spin button yenye rangi ya kijani. Gurudumu litajizungusha kwa sekunde kadha na matokeo yataoneshwa.
Michezo kama hii ipo pia Meridianbet & Premier


Tafadhari jamaani huku kuna vipigo vya dakika


View attachment 1283287View attachment 1283288View attachment 1283289
Asante sana mdau nimekuelewa vyema.
 
Utapigwa uchakae LIVERPOOL atakuwa yupo kwenye kombe la klabu za dunia kaomba achezeshe watoto wake yani timu ya academy kakubaliwa sasa usije laumu, na sio wale watto b hao ni wale wanafunzi...wanaobetisha sio wajinga kiasi icho,
Hapa nitatia 20000 aisee
 
Wanangu wa gari moshi a.k.a treni naona mpo kimya sana baada ya yale mengine kudondoka, tusikate tamaa week end inakuja wekeni vitu Jk12
 
Utapigwa uchakae LIVERPOOL atakuwa yupo kwenye kombe la klabu za dunia kaomba achezeshe watoto wake yani timu ya academy kakubaliwa sasa usije laumu, na sio wale watto b hao ni wale wanafunzi...wanaobetisha sio wajinga kiasi icho,
Asee kwa hiyo sio kile kikosi walichotoa na arsenal 5-5 kweli kazi ipo!
 
Yah ni kweli mkuu hapo kwa kuanza inabidi ujibrash kwa kucheza rangi kwanza ili uzoee mchezo
nimeshafungua hiyo spin to win princessbet lakini sijajua kuna kaujanja gani ka kumpiga hela maana ukispin kiboya hela yote inaenda. pliz Jimmy scami maelekezo mkuu
 
Mi liverpool achana na kuchezesha watoto wake, hata achezeshe wajukuu zake nampa mazima. Odds 12 zina sifa zote za kujitoa mhanga. Nilibet juzi kati alikuwa na odds 7 leo ni 12 naweka mzigo tena. Kuliwa kwenye mazingira haya hata haiumi kuliko uliwe kwenye odds 1.25
 
Ipo mkuu mbona ukiingia kwenye virtual games unashusha cini kabisa utaona segem wameandika casino spin to win na kuna sip to win with royale
Mbona pari match hiyo vitual game zipo lakini hiyo spin to win haipo? Natumia web, au mpaka app?
 
NOON TIPs - [emoji459]

Odds 5.34

Cains Taipans vs New Zealand Breakers - Odds 1.41
AUSTRALIA NBL

Perth Wild Cats vs Sydney Kings - Odds 1.44
AUSTRALIAN NBL

Samsung Thunders vs KT Sonicboom - Odds 1.46
SOUTH KOREAN KBL

Anyang KGC vs Mobis Phoebus - Odds 1.44
SOUTH KOREAN KBL

Adjustments.JPG
 
AFTERNOON TIPs - [emoji459]

Odds 4.14

Beijing Royal Fighters vs Shandong Heroes - Odds 1.46
CHINESE CBA

Fujian Sturgeons vs Shandong Fighters - Odds 1.50
CHINESE CBA

Philippines vs Vietnam - Odds 1.72
SOUTHEAST ASIAN GAMES

Adjustments.JPG
 
Wanangu wa gari moshi a.k.a treni naona mpo kimya sana baada ya yale mengine kudondoka, tusikate tamaa week end inakuja wekeni vitu Jk12
Tren moja limekufa limebakia moja meridian na moja bet pawa...nilishare humu kuanzia juz fc Cluj
Screenshot_20191206-064553.png
 
Naendelea kuwakumbusha odds za Liverpool dhidi ya Aston Villa zimefika 12 tarehe 17-12-2019.
Venue: Villa Park
Mkuu saiz parimatch wamefikisha odd 14

Hivi wanajua kikos b cha liverpool

Kloop haelewek unawezakuta anaweka kina

Orig, shakir, keita

Hao wote wapo moto, afu uniambie wanaweza kushindwa kuwapiga villa

Mpaka wanampa liverpool odd 14 aisee liwalo na liwee mim naweka 10k
 
Mkuu saiz parimatch wamefikisha odd 14

Hivi wanajua kikos b cha liverpool

Kloop haelewek unawezakuta anaweka kina

Orig, shakir, keita

Hao wote wapo moto, afu uniambie wanaweza kushindwa kuwapiga villa

Mpaka wanampa liverpool odd 14 aisee liwalo na liwee mim naweka 10k
Hao wote uliowataja wanaenda qtar kucheza klabu ya dunia
..
 
Back
Top Bottom