Daus Jr
Member
- Nov 11, 2019
- 39
- 15
Hapo unaweka stake sh ngapi wakuuDaaah hatimae nimefanikiwa kuwithdraw milion ya pili jumla milion 2 thanks GODView attachment 1283148View attachment 1283149
Hapo unaweka stake sh ngapi wakuuDaaah hatimae nimefanikiwa kuwithdraw milion ya pili jumla milion 2 thanks GODView attachment 1283148View attachment 1283149
NDOANO - [emoji459]
Odds 5.48
NB: STAKE accordingly.....!!!!
CA Platense vs FC Oeste - Odds 1.4
ARGENTINE
Toronto Raptors vs Houston Rockets - Odds 1.47
USA NBA
New Orleans Pelicans vs Phoenix Suns - Odds 1.46
USA NBA
New York Knicks vs Denver Nuggets - Odds 1.47
USA NBA
View attachment 1283103
Mnanitamanisha jamanDaaah hatimae nimefanikiwa kuwithdraw milion ya pili jumla milion 2 thanks GODView attachment 1283148View attachment 1283149
Wekeni nondo za kutosha kwenye mchezo huu tujifunze tuachane na mpira wa miguu.Daaah hatimae nimefanikiwa kuwithdraw milion ya pili jumla milion 2 thanks GODView attachment 1283148View attachment 1283149
Mkuu ulipata wapi nguvu ya kuwaamin arsenal aiseeDua zenu jamani, hali ya mgonjwa sio yakuridhisha
Aseno bado nawaamini
Ngoja nilale ntakutana na majibu asubuhiView attachment 1283064
Mbona pari match hiyo vitual game zipo lakini hiyo spin to win haipo? Natumia web, au mpaka app?Unadownload kampuni mfano kama ni www.princessbet.co.tz au www.parimatch.com kisha unajisajili unaingia kwenye virtual games spin to win. Kuna namba kuanzia 0-36 zimegawanyika katika makundi matatu kuna dozen namba 1 ambazo ni namba 1-12 kisha dozen namba 2 amabzo ni namba 13-24 na mwisho ni dozen namba 3 amabzo ni namba 25-36 kisha kuna rangi ambazo ni nyekundu nyeusi na kijani lakini kijani inajitegemea peke ake.. thamani ya namba 1 ni point 36 kwahiyo ukiweka dau la shilingi mia tano kwa namba moja na ikashinda basi utakua umeshinda kiasi cha shilingi elfu kumi na nane
Biashara ngumu (0:1)
Unadownload kampuni mfano kama ni www.princessbet.co.tz au www.parimatch.com kisha unajisajili unaingia kwenye virtual games spin to win. Kuna namba kuanzia 0-36 zimegawanyika katika makundi matatu kuna dozen namba 1 ambazo ni namba 1-12 kisha dozen namba 2 amabzo ni namba 13-24 na mwisho ni dozen namba 3 amabzo ni namba 25-36 kisha kuna rangi ambazo ni nyekundu nyeusi na kijani lakini kijani inajitegemea peke ake.. thamani ya namba 1 ni point 36 kwahiyo ukiweka dau la shilingi mia tano kwa namba moja na ikashinda basi utakua umeshinda kiasi cha shilingi elfu kumi na nane
Toeni maelekezo basi wazee, wengine tunaona namba namba tu, ukichagua mfano 20 mpaka kamshale katue kwenye 20 yenyewe?Mkuu safi sna, me nmepiga laki 3 aisee[emoji119]
Nabet football tuuuToeni maelekezo basi wazee, wengine tunaona namba namba tu, ukichagua mfano 20 mpaka kamshale katue kwenye 20 yenyewe?
Pliz jimmy scam njoo utoe nondo jinc y kuotea itakapotua hko ka mshale kwenye spinToeni maelekezo basi wazee, wengine tunaona namba namba tu, ukichagua mfano 20 mpaka kamshale katue kwenye 20 yenyewe?
Mkuu hilo trein linafika hadi uefa?,ASENALI ASENALI ASENALI ASENALI CANView attachment 1283187View attachment 1283188View attachment 1283189
Ukifungua parimatch or princess bet nenda & click kwenye virtual games, shuka hadi kwenye lucky games then uchague Spin 2 win. Utachangua namba moja au zaidi , unazungusha kimshale, kikigota kwenye ile namba uloichagua basi umeshinda.Toeni maelekezo basi wazee, wengine tunaona namba namba tu, ukichagua mfano 20 mpaka kamshale katue kwenye 20 yenyewe?
Hadi Europa roma FrankfurtMkuu hilo trein linafika hadi uefa?,
Ndio hivyo tena mkuuMkuu ulipata wapi nguvu ya kuwaamin arsenal aisee
Mim nawaona kama level za kina cardiff city siwezi kuwapa hata double chance hawa washika bunduki