Hapa nitatia 20000 aiseeNaendelea kuwakumbusha odds za Liverpool dhidi ya Aston Villa zimefika 12 tarehe 17-12-2019.
Venue: Villa Park
Vipi hapa tuwafanyie vipi hawa Aston?Naendelea kuwakumbusha odds za Liverpool dhidi ya Aston Villa zimefika 12 tarehe 17-12-2019.
Venue: Villa Park
Shamkumbo?? wewe utakuwa ndugu yangu mkuuSha~ Mkumbo safi
Hapa nikufumba macho na kuweka m.Naendelea kuwakumbusha odds za Liverpool dhidi ya Aston Villa zimefika 12 tarehe 17-12-2019.
Venue: Villa Park
Hapa nikufumba macho na kuweka m.
Away unakuwa umempa faida ya magoli mawili yana ngoma iniiksha draw still utawin au hata ikiisha 2-1 still away atawinMkuu nipe kautaalam kidogo ka handcap; Yan ukute 2:+2 maan yake ikoje apo
Hapa nikufumba macho na kuweka m.
Nimeona now mkeka bet odds 12kampuni gani ? me naitafutia pesa hii kitu juz pari match nimeona ni 7.2 mpaka mwili ukasisimuka , ivi wanatutafutia nini hawa makanjibai sisi wengine kujitoa muhanga hatufikirii, nimemwonyesha jamaangu kaweka LAKI
muntua walia mpia nee?songela mbwanewe
hii ime recover ile Loss ya Arsenal mkuu bila shaka
Nimeona now mkeka bet odds 12
Nisingekufuata ungeshinda
Naomba tuma screenshot ya namna ya kucheza kama hutojali mdau.Ukifungua parimatch or princess bet nenda & click kwenye virtual games, shuka hadi kwenye lucky games then uchague Spin 2 win. Utachangua namba moja au zaidi , unazungusha kimshale, kikigota kwenye ile namba uloichagua basi umeshinda.
Ni bahati nasibu hii so inategemea na kisimati chako.
No liverpool mkuu ingawa anamechi siku inayofuata ya world best clubMnamaanisha tumpe Aston Villa
Ila kumbuka kukukata pia ni njenje usiangalie kula kuna kuliwa pia.Naomba tuma screenshot ya namna ya kucheza kama hutojali mdau.
Unaogopa kupoteza pesa kwenye kamali?Ila kumbuka kukukata pia ni njenje usiangalie kula kuna kuliwa pia.
Hii ni Parimatch, kuna option ya kucheza virtual, hii ina kua una cheza japo sio uhalisia mfano kuna football, farasi na hio ya table, matokeo ni ndani ya dakika 3.Naomba tuma screenshot ya namna ya kucheza kama hutojali mdau.