Tripp
JF-Expert Member
- Feb 2, 2018
- 917
- 1,607
Kikosi cha liverpool kitachocheza na aston villa kimetajwa leo, nawakumbusha siku hiyo liverpool atakuwa pia anacheza mechi ya nusu fainali ya kombe la klabu la dunia na wachezaji wote na kocha mkuu watakuwa qatar ila wale wanafunzi watakuwa na kocha wao wakipambana na villa kamili, mliobet kwa mkumbo hakika mmejitakia msiba,kati ya waliocheza na arsenal game ya 5-5 ni kipa pekee ndie atayekuwepo ambaye ni kipa timu ya secondary