Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

ilo dude Spin sio kabisa yaani ni Patapotea naona napuruswa tu hapa wacha nirud kweny accumulators tu ambazo nisha zoea

okoteza apa

B/Munich women home win/over 2.5

lile win

Fulham U23 over 2.5

hamburger home/draw total over 1.5

Go Ahead over2.5

inter GG

ajax over 2.5

Dondrecht over 2.5
 
IMG_7061.JPG
ngoja nacc tuujaribu uu naona unakuja kuja apo nilitaka stake laki mbili muindi angefunga duka
 
niko na Gari-moshi a.k.a SGR a.k.a Treni la mechi 30' nondo ya maana stake buku kwa 1M sijui nilidondoshe hapa
Mkuu hilo hua haliulizwagi. We liweke hapa mwenye kutaka kulipanda na alipande tu at his/her own risk and stake Kama ufanyavyo yale mengine Kqka
 
Back
Top Bottom