Semeni Bugoke
JF-Expert Member
- Feb 21, 2015
- 390
- 675
Me acha niendelee kuwachungulia hawaHuu mchezo ni mzuri mi walinipiga buku 7 dakika chache tu na Mimi nimeirudisha dakika chache tu nisharudisha hela yote nahama kubeti mpira rasmi
Me acha niendelee kuwachungulia hawaHuu mchezo ni mzuri mi walinipiga buku 7 dakika chache tu na Mimi nimeirudisha dakika chache tu nisharudisha hela yote nahama kubeti mpira rasmi
MKUU WE UNATUMIA OPTION GANI?MAANA MIMI NILIKUWA NA 20K KWENYE ACCOUNT WAMEPITA NAYO YOTE.[emoji52]
Mkuu Hebu Onyesha Upendo Kwa Raia Wenzio,Me acha niendelee kuwachungulia hawa View attachment 1283457
View attachment 1283460Haya Mambo Ya Virtual Sio Kabisa (Spin, Football, Mbwa Na Farasi)
You Can't Beat Computer Algorithms
Sema Tu Unakuwa Na Bahati Ya Kupata Mtonyo Siku Kadhaa
Nishawahi Kupigwa 150k Kizembe In 1 Hour Tens Stake Ilikuwa Elfu 5 Tu.
Asante Mungu Niliachaga Hizi Mambo.
Me acha niendelee kuwachungulia hawa View attachment 1283457
Najua Bro, Mimi Naangalia Probability Chance Ya Win Na Loose, Sijakukatalia Na Risk.Vipi kuhusu mpira nao hakuna kamari ya uhakika 100% broView attachment 1283460View attachment 1283461
Mkuu Hebu Onyesha Upendo Kwa Raia Wenzio,
Kabla Hauja Spin Waonyeshe Luck Number Zako Ili Nao Wajitupe Hapo.
Maana Naona Hapo Juu Wanalia Na Wewe Unazid Kutupia Win Tu
AsaMkuu mimi tathmini ya gurudumu langu nalijua vzr kwakua nishacheza mda mrefu ivo inapelekea nafaham namba inayokua moto ni ipi na natia hela wao acc zao ni mpya tathmini au takwimu ni 0 kwa kila namba ivo inabidi waanze kwakucheza rangi au dozen kwanza ili wapate kujua namba moto ni zipi mfano mimi toka jana niliisoma nikaona namba 4 ina rise nikapanda nayo mpk ikanipa milioni moja baada ya hapo namba 4 ikaanza kushuka namba 19 ikaanza kupanda nikaligundua hilo nikapanda nayo mpk nikapata milion ya pili na zote nikafanikiwa kuziwithdraw ndani ya masaa machache tu nikawa nimeingiza win zaidi ya 5M lkn niliofanikiwa kuwithdraw ni 2M
Huu mchezo ni mzuri mi walinipiga buku 7 dakika chache tu na Mimi nimeirudisha dakika chache tu nisharudisha hela yote nahama kubeti mpira rasmi
Mkuu wewe unaweka stake shingapi mkuu
Ok Asante Mkuu Kwa Kushar Experience Na Trick ZakoMkuu mimi tathmini ya gurudumu langu nalijua vzr kwakua nishacheza mda mrefu ivo inapelekea nafaham namba inayokua moto ni ipi na natia hela wao acc zao ni mpya tathmini au takwimu ni 0 kwa kila namba ivo inabidi waanze kwakucheza rangi au dozen kwanza ili wapate kujua namba moto ni zipi mfano mimi toka jana niliisoma nikaona namba 4 ina rise nikapanda nayo mpk ikanipa milioni moja baada ya hapo namba 4 ikaanza kushuka namba 19 ikaanza kupanda nikaligundua hilo nikapanda nayo mpk nikapata milion ya pili na zote nikafanikiwa kuziwithdraw ndani ya masaa machache tu nikawa nimeingiza win zaidi ya 5M lkn niliofanikiwa kuwithdraw ni 2M
Jamaa umewaoteaOk Asante Mkuu Kwa Kushar Experience Na Trick Zako
Shukran mkuu[emoji120]Away unakuwa umempa faida ya magoli mawili yana ngoma iniiksha draw still utawin au hata ikiisha 2-1 still away atawin
Acha kabisaaa sikushauriiii ndugu bora upoteze on sports
kifupi ni kua hutaki kutoa stratergy..maana umetumia mda mwingi kujifunza...sasa kuna nyumbu watataka wapewe bure...ila kwa mimi nlivoona winning zako nimeshajua unachofanya..shukrani sanaIpo hivi ndugu zanguni mchezo wa bahati nasibu ambao ni ngumu kufahamu saivi itakuja namba ngapi ni zile spin au rollette za casino i mean live spin zile ndo kazi lakini hizi za online zinazoendeshwa na comp ni rahisi kufahm endapo tu utaweka nia ya kufaham vzr kwa muda mrefu anyway mimi ni mdau wa kubet toka siku nyingi saana na mpira hua nabet ili tu nisilale bila mkeka lkn nguvu kubwa mimi ipo kwenye spin coz nina uwezo wa kutemgeneza 50k every day nikitoa tamaa .. na hua natumia kampuni mbili princessbet na parimatchView attachment 1283480View attachment 1283481
Pole mkuu MayuBet lost
Cha kwanza hongera mkuu jimmy scami , tunaomba uendelee kushusha nondo...Mimi hua nikishalitathmini gurudumu kwenye takwimu namba ambayo ipo moto au kwa lugha ingine tunasema namba ambayo inajirudia rudia hua natia stake kubwa kama elfu 5 au elfu 10 mpk elfu 20 alafu namba zingine nazitia kwa mia tatu zingine kwa mia tano kurudisha mtaji iwapo namba ambayo nimeiwekea hela kubwa isipowin... mfano hii namba 19 niliiwekea 25k View attachment 1283473