Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Watapigwa wachakae aisee uo utelezi yani liverpool na form yake kapewa point mnashangilia klopp hata benchi hatokuweko kama hamjui wala wale madogo walio cheza na arsenal hawapo wataanza wafuataoView attachment 1283904
Mkuu hiyo sio sure line Up Bali n overview itakavyokuw, alafu hata hicho kikosi mbona kinamchaza villa asubuh tuuu. [emoji23][emoji23] siongei kiushabik ila liver kwa iko kikosi ulicholeta arsenal anakula za kutosha kam mtoto
 
IMG_7065.JPG
nakimbia ivo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hahahah
ilo dude Spin sio kabisa yaani ni Patapotea naona napuruswa tu hapa wacha nirud kweny accumulators tu ambazo nisha zoea

okoteza apa

B/Munich women home win/over 2.5

lile win

Fulham U23 over 2.5

hamburger home/draw total over 1.5

Go Ahead over2.5

inter GG

ajax over 2.5

Dondrecht over 2.5
 
Namba moja odds yake ni 36 mkuu sio 3
Spin 2 ina vitu vifuatavyo
1.1-36 kila no moja ina odds 3
so ukichangua no unaipa na dau lake kqa mfano uchague 4,5,7 unazipa Stake kwa kuendelea kuzibonyeza So kama Bahati yako ni nzuri ikiangukia hapo umekula.

2.Kuna kubeti kwa rangi
Kuna nyekundu,nyeusi na kijani nayo pia unaipa stake hii ina odd 2

3.kuna dozen
1-12
13-24
25-36 zote hzo zina odds za 2

4.kuna

odd na even hapa kama ulipita shule unajua uyofauti wake

Option zote ni nzur sasa ni wewe tu kuona wapi unaweza ku stake na bahati yako itaangukia wap kati ya hapo...kwangu betting ya kuchangua no naona ndio bora zaidi...Mwenye kuongezea ujuzi ruksa wakuu *Betting kama siasa tu haina rafk wa kudumu*
 
Back
Top Bottom