Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Odds 5.5
20191206_201936.jpeg
 
Wakuu lile gari moshi bado sijaliluhusu liondoke maana linafanyiwa utafiti kwenye ingine, break, tyle, gear, horne... lisije likadondoka kabla hatujafika tuendako kwahiyo kesho asubuhi mapema nitaweka link wadau mtembee nalo
Kama dawa kama kawa nipo stesheni hapa nasubiri treni. Dah jamani ila vipigo kwangu naona vimezidi cku nikimfuma huyu kanji.... kila kijimkeka nachosuka mapemaa tu kinachanika
 
Tunaita saikoloji effect ipo hivi hio spin kuna muda inakua upande mmoja tu sasa kama hujalijua fresh basi ikihama upande wew saikolojia yako bado utaendelea kucheza kama ulivokua unacheza na unawin kumbe gurudumu lishageuka ivo hautakubal kuona unaloss ivo na utazidi na kuongeza dau ndo hapo utakuta umewin laki 9 na hukuwithdraw mpk acc inabaki na mia 2 ndo mana kwasasa nakushar uwe una withdraw mkuu
Kwann mkuu
Itakuwaje nisipo fanya ivo
 
mwambie sungura huyo
 
Kamari zote baba yao ni sports betting where atleast you can use your brain kudadafua na kupanga mkakati

Hizo Casino ni bahati na sibu kwa silimia 100
Na siku ukiamka vizuri unaweza kupiga hela ya hatari ukabaki mdomo wazi

Watu tushahangaika sana na Keno, Slot, Spin, karata nk nk, lakini mwisho wa siku utakuja gundua sports betting ni bora kuliko casino
Hizi ndio kamari za toka enzi na enzi
 
Back
Top Bottom