kama sahv mi nina karaha na sitaweza kumuelezea kuhusu betting
Katupia dk ya 92 niliwapa over 4.5 dk ya 89 wakiwa na odds 4Atalanta bana yani matimu ya Italy hayaeleweki
Atalanta siameshinda lakini kwa mbelekoAtalanta bana yani matimu ya Italy hayaeleweki
Solo predict katika ubora waoJaribu bahati yako ukichambua vzr hukosi ya supu asbh! Good luck amigosView attachment 1284714View attachment 1284715
Hivi ndivyo wajasiliamali wa betting tunavyofanya... Keep it up?Usiogope kustake,125 faida fasta fastaView attachment 1284717
Kubeti kazi kwelikweli... Bayern kala wire tena kakomba mtaji wote.. Bora niachane nahii chuma ulete
Wala usijaribu kutamani aisee, huu uraibu ni mbaya sanaJamani hebu toeni shule jwa ufupi jinsi ya kubet maana hizi 1.5 siju 3.75 mi sizielewi na natamni kweli haya mambo. Ila sina elimu nayo