Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Ushachanika huo lisaa lilioipita !! Aliweka aongoze Chelsea kipindi cha kwanza alafu Everton ashinde hivo hivo kwa Madrid apigwe alafu arudi
Duuuu mkuu haka Kadude ni kama kanaelekea kukubali hivi
 
MANCITY NO WIN TODAY
BET WIFE CAR UR POCKET N EVERYTHING
MAXBET DOUBLECHANCE MAN U ..AL U HAVE
 
wadau wenye matokeo ya mechi ambayo inayoonyesha hapo kwenye mkeka wangu ambao bado....mechi inaendelea mnijulishe matokeo yake mimi hapa nilipo sina livescore.......ili nijue kama leo nitakunywa barimi zangu au la....!

leo 3.JPG
 
Jamani hebu toeni shule jwa ufupi jinsi ya kubet maana hizi 1.5 siju 3.75 mi sizielewi na natamni kweli haya mambo. Ila sina elimu nayo
 
Mkuu una muda gani tangia uanze ku bet?
una elewa nini kuhusu ku bet yaan nini unavijua kwa ufupi ili tuanzie hapo
 
maswali ya msingi kwanza.....
umejiandaaje na kufunga ndoa na muhindi??

je unaroho nyepesi au ngumu??

unaweza kuacha kutumia akiba yako ya mwisho kwa ajili ya chakula ukatupia kwa muhindi kujaribu zali?

Je simu yako huwa unaweka bundle la kutosha maana huku kama unategemea MB 50 utajutia mzee.....maana unaweza kushangaa unaweka stake kumbe bundle limekata!! yaani namaanisha simu yako iwe na uwezo wa kuwa na bundle LA kutosha all the time!!

karibu sana....Ila ujue huku kuna raha na karaha!!
 
Sifahamu chocho nilibahatisha siku moja kwa kuchagua namba ndogo tupu mfano kama 1.5 na 17.5 nachagua 1.5, nikaliwa kwa hiyo sielewi chochote
 
maswali ya msingi kwanza.....
umejiandaaje na kufunga ndoa na muhindi??

je unaroho nyepesi au ngumu??

unaweza kuacha kutumia akiba yako ya mwisho kwa ajili ya chakula ukatupia kwa muhindi kujaribu zali?

Je simu yako huwa unaweka bundle la kutosha maana huku kama unategemea MB 50 utajutia mzee.....maana unaweza kushangaa unaweka stake kumbe bundle limekata!! yaani namaanisha simu yako iwe na uwezo wa kuwa na bundle LA kutosha all the time!!

karibu sana....Ila ujue huku kuna raha na karaha!!
kama sahv mi nina karaha na sitaweza kumuelezea kuhusu betting
 
Back
Top Bottom