Sad Larry
JF-Expert Member
- Jun 17, 2019
- 414
- 558
Go ahead Eagle[emoji23][emoji23][emoji23]boooom....live play hiyoView attachment 1284529
Go ahead Eagle[emoji23][emoji23][emoji23]boooom....live play hiyoView attachment 1284529
Utupie hata moja moja arif siunajua hali mbayaboooom....live play hiyoView attachment 1284529
Kabisa mkuuTrue fack mkuu
leo man u anakula gor sio chin ya 5Kama haipend hela yako mpe man cty win direct leo
Kwenye haya makampuni ya kubeti kuna mabilioni ya madola tatizo ni kwenye jinsi ya kupata funguo ama parten kama kwenye smartphone zetu za kuweza fungulia hayo mahela kwa mfano ukiweka
- liverpool win
[*]barcelona win
[*]bayern gg
hizi ndio key kama zitakuwa sahihi mfumo wa kampuni ya kubeti utaruhusu kuachia pesa.
popote ilimradi watu watusue pesa.wadau mimi napenda sana kuona watu wanawin iwe MIKEKA ama SPIN so tuache tu hawa jamaa zetu wawe wanatupia humu madini kwahiyo nakuomba mkuu Mayu urudi kwenye jukwaa hapa uendelee kushare madini adui yetu sote ni kanji-bay a.k.a mhindi
daaah huu mchezo ni hatareee kwa afya yko.nimepigwa 50 in 1mns.
Unitagg na mmnita-kutagg mkuu
Leo nampiga mhindi 6m hatoki... Lakini kizuri wacha niwasambazie upendo na nyie mtusue...View attachment 1284577
naunga mkono hojaWakuu kichwa cha habari cha huu uzi kinajieleza vizuri
Natamani wadau wa Casino wangefungua thread yao wakaiacha hii thread kwaajili ya SPORTS BETTING
Naona kama tunapoteza focus ya huu uzi sasa, jana karibu post zote zilikua zinahusu spin na sio kupeana tips na maujanja yetu
Namuomba Sungusunguu mtaalamu mwenzake wafungue thread kuhusu spin ili kushare na wadau uzoefu wao watu tuweze kumpiga vizuri kanji
Inakua rahisi kama ukitaka spin unakwenda uzi husika na ukitaka sports betting unakuja uzi husika
No hard feelings, Nothing personal ni muona wangu tu
in play kushare sometimes ni ngumu coz the moment naweka stake na kuja kushare huku tayar options zinakuwa zimeshabadilika yaani in play ni maamuz ya harakaUtupie hata moja moja arif siunajua hali mbaya
Leo nampiga mhindi 6m hatoki... Lakini kizuri wacha niwasambazie upendo na nyie mtusue...View attachment 1284577
Weka hyo app ya kuchek muendelezo as gamelabda niwape siri kidogo ya basketball jinsi ninavyofanya ninapocheza inplay...
kwanza kabisa mahesabu yanatakiwa kufanyika cha pili maamuzi....lakini pia lazima uwe application ya kuangalia muendelezo wa game ili ujue kuna ingilika au la!!! league nyingi za basketball zinaenda kila quarter dk 10 lakini hizi sio exactly dk 10 kama unavyojua wewe... so kama upo live in play ukiona ndani ya dk 4 wamefungana point zaidi ya 15 ujue hiyo quarter kuna possibility kubwa ya kutoa over 40+ points so nikuangalia umewekewa point gani so kama ukiwekea over 40.5 we weka mzigo.