Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Vipi hii ambayo nimeweka namba moja tu....
APA umechagua namba jumla 20 na green uwezekano wakushinda in mkubwa uliweka kwa 300/#? Ama 500
Screenshot_20191206-045242_Chrome.jpeg
 
[emoji23][emoji23] ilo la liver na Chelsea ni sure bet
Haaahaaa mwana kapasuka na man u

Football odds za Man u znaweza kutoa alafu Kule Liver akashinda kuto 0.5 over
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila vpigo vingine tunajikiaga hii iko wazii kabisaa, unaanze kumpa MTU alopgwa Away na Astana then huyo huyo Away akampige M.city, may be lkn this is betting mwaka Jana man CTY alipgwa 2-3 na away
 
Harafu unaanza kumlaumu kanji et anatumaliza
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Man city anaweza kufugwa na man u ila sio hii game ya leo

Man city win weka nyumbaa
[emoji23][emoji23][emoji23] hii derby Mimi nashauri magoli kwakweli over 1.5 sure bet kbsaaa au btts
 
bado nataka nijitoe akili tu
Hapna mkuu sikushauri kbsaaa uskmbilie odds mlima kisa timu chache umeona hapo kila mechi INA hatari tupu kuja kuisha zotee zikitck ur Lucky, na nilisema kama umestake basi sa 7:30 utakuw unalia mechi ya Sydney iko dakk ya 84 goli 3-0 ungewka over 2.5

Ya Madrid over 1.5ft
Ya Bochum over 2.5ft
Ya turkey hiyo btts yes,over 1.5ft yes
Ya Russia Tambov under 4ft
 
Ya Tambov piga under 4 FT
 
Back
Top Bottom