Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Nimeshajilipua mapema tu.
IMG-20191207-WA0000.jpg
 
the battle continue....I love betpawa when it comes in live playing[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Screenshot_2019-12-07-13-48-45.jpeg
 
nilianza na mtaji wa 10400 jana so nimepambana nayo mpaka hivi sasa nimeshawithdraw 110000.....guys betting haina formula siku nyota yako ikikolea usilale kabisa!!! live play huwa nzuri hasa kwa basketball unaangalia tu then unatembea na quarters!!
Screenshot_2019-12-07-13-53-07.jpeg
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]safiiiii afu wakamaria sasa hivi hatujui tu football is change nowadays , inplay ndo unajua reall situation what's going on kuliko pre match
mkuu mm football nilishaachaga kubet natembea na basketball tu
 
nilianza na mtaji wa 10400 jana so nimepambana nayo mpaka hivi sasa nimeshawithdraw 110000.....guys betting haina formula siku nyota yako ikikolea usilale kabisa!!! live play huwa nzuri hasa kwa basketball unaangalia tu then unatembea na quarters!! View attachment 1284518
mkuu mm football nilishaachaga kubet natembea na basketball tu
Soon nakuja huko ngja Nile kozi ya wiki2 naaa assume nimestake afu naon result
 
wadau mimi napenda sana kuona watu wanawin iwe MIKEKA ama SPIN so tuache tu hawa jamaa zetu wawe wanatupia humu madini kwahiyo nakuomba mkuu Mayu urudi kwenye jukwaa hapa uendelee kushare madini adui yetu sote ni kanji-bay a.k.a mhindi
 
Back
Top Bottom