Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hii sio sawa mzee, leo 'weekend' utatumia mda mwingi kufundisha watu humu badala ta kushea tips
Ungetafuta siku ya kushusha darasa sio cku muhimu km leo. Anaetumia sportpesa, betpawa, gal, na nyingine hawawezi kukuelewa as long parimatch sio wote wanaitumia. Uzi ni wa kushea mikeka huu sio kufundisha kikundi cha watu wachache.
Haya ukimaliza weka na tips za dog race basi tuendelee kujifunza

Kwenda zako
 
Mliukataa sio haya kila la kheri
IMG_20191207_102411_363.JPG
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Tuache kupotoshana et kila mda football
Inabidi tupunguze machungu watu wajue ku spin muhindi sio ndugu yetu
Hakuna cha nn wala nn acha tutoane mate apa
Mbona mnaelekezana ad michezo yakidada netbal uko[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom